More News

Gerezani commuter bus station for relocation Imewekwa: 11 Feb 2019

As the Dar Rapid Transit (DART) Agency is about to start implementing phase two along Kilwa Road that begins at the city center and goes up to Mbagala Rangitatu, the owners of commuter buses have to leave the bus station at Gerezani to pave a way for infrastructure development of DART phase two.

Soma zaidi

Stakeholders brace for DART phase two infrastructure development Imewekwa: 16 Jan 2019

As compensation payments for people with affected property in phase two along Kilwa Road in Mbagala nears end, DART key stakeholders have proposed mitigation measures to be taken in a bid to tackle challenges that might disrupt construction activities when implementing DART phase two on Kilwa Road.

Soma zaidi

Mabadiliko ya mwelekeo wa fikra ndani ya mabasi ya DART yapaswa kufanyika Imewekwa: 14 Jan 2019

Na Ronald Lwakatare Wazo la kuanzisha mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka au kwa jina maarufu la Kiingereza ‘Bus Rapid Transit (BRT) katika Jiji la Dar es Salaam limetokana na kuongezeka kwa msongamano wa magari kila kukicha huku idadi ya watu ikizidi kuongezeka kwa kasi katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita.

Soma zaidi

TANZIA Imewekwa: 04 Jan 2019

MAREHEMU BW. VICTOR NDONNE ALIYEKUWA KAIMU MKURUGENZI WA IDARA YA MAENDELEO NA USAFIRISHAJI - DART Uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unasikitika kutangaza

Soma zaidi

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kulipa fidia wakazi wa Mbagala Imewekwa: 07 Nov 2018

Wakati Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ukiwa katika maandalizi ya mwisho ya kuanza kazi ya ujenzi wa miundombinu ya Awamu ya 2 ya mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), ulipaji wa fidia kwa wananchi wanaopaswa kupisha ujenzi wa miundombinu hiyo imeanza.

Soma zaidi

DART staff get training to equip for land compensation for BRT projects Imewekwa: 02 Nov 2018

The construction of highways, water pipelines or electricity for public interest like DART requires compulsory land acquisition.

Soma zaidi