Eneo la Biashara Kituo Kikuu Gerezani

BUSTANI YA BIASHARA KATIKA KITUO KIKUU CHA GEREZANI

Wakala imo katika mchakato wa kujenga bustani za biashara kwenye vituo vikuu zenye lengo la kuweka maeneo ya huduma. Huduma zilizolengwa ni pamoja na simu za mkononi, taasisi za umma na serikali na utoaji wa huduma muhimu kwa walaji kama vile kuuliza na kushughulikia taarifa.