HUDUMA ZA MABASI YAENDAYO HARAKA

Huduma zetu zinatolewa kwenye Njia Kuu na Njia Mlishi.

NJIA KUU

001: Kimara mpaka Kivukoni

002: Ubungo mpaka Kivukoni

003: Morocco mpaka Kivukoni

004: Kimara mpaka Gerezani

005: Ubungo mpaka Gerezani

006: Morocco mpaka Gerezani

007: Morocco mpaka Kimara

NJIA MLISHI

000: Gerezani to Muhimbili

000: Kimara to Mbezi

NAULI

Tiketi za karatasi na kadi kwaajili ya ukusanyaji wa nauli.

  • Tshs 650 kwa watu wazima
  • Tshs 200 kwa wanafunzi

Ujumuishaji wa nauli wa anaetumia kadi

  • Mbezi mpaka Kimara Tshs 800

Tiketi za Karatasi

  • Mbezi mpaka Kimara Tshs 400.

Njia ya Muhimbili Tshs 650.

Jinsi ya kulipia kadi:

  • NMB ATM.
  • SIMU ZA MKONONI.
  • MPESA.

AIRTEL MONEY