Kongamano la Uwezeshaji 2018

Mahali

LAPF Dodoma

Tarehe

2018-11-23 - 2018-11-30

Muda

8:00 am - 12:02 pm

Madhumuni

  • Kujadili Changamoto mbalimbali zinazokabili Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi nchini Tanzania;
  • Kutambua michango ya wadau mbalimbali wa Uwe

Event Contents

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) likishirikiana na wadaulitafanya Kongamano la tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Mjini Dodoma. Kongamano litahudhuriwa na wadau wa uwezeshaji kutoka sekta Binafsi na Umma.

Lengo la kongamano ni kukutanisha wadau wa uwezeshaji ili kujadiliana masuala ya uwezeshaji wannanchi kiuchumi, kujifunza toka kwa wadau wengine namna ya kuchochea juhudi za uwezeshaji wananchi kiuchumi na mapinduzi ya viwanda nchini. Aidha, kongamano litatambua Taasisi za Umma na Binafsi nchini zilizofanya vizuri katika kuratibu masuala ya uwezeshaji katika maeneo yao.

Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kassim M. Majaliwa (MB).

Washiriki

All

Ada ya Tukio

Free

Simu

+255 22 2460706-8,

Barua pepe

met@meteo.go.tz