Habari

Waziri Mkuu kutoa tuzo kwa wawezeshaji wananchi Kiuchumi

​Baraza Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) linatarajia kufanya kongamano la tatu la wadau wa uwezeshaji wananchi Kiuchumi ambalo litafanyika Juni 18 mwaka huu katika ukumbi wa LAPF mkoani Dodoma lenye kauli mbiu ya ‘Viwanda; nguzo ya uwezeshaji kiuchumi.... Soma zaidi

Imewekwa: Jun 04, 2018

Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania atembelea ofisi za Baraza

Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier atembelea ofisi za Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi lengo likiwa ni kujadiliana ... Soma zaidi

Imewekwa: May 08, 2018

Waziri Mkuu apongeza mafanikio ya Baraza

Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa amevutiwa na mafaniko ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi yaliyopatikana katika kipindi cha utekelezaji wa Sera za Serikali ya awamu ya tano.... Soma zaidi

Imewekwa: Apr 25, 2018

Kongamano la wadau wa sekta Binafsi kuhusu fursa za Kibiashara zilizopo kwenye Mradi wa Bomba la Mafuta

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kutoka sekta binafsi na za Umma limefanikiwa kuendesha kongamano la siku moja kujadili fursa za kibiashara ... Soma zaidi

Imewekwa: Apr 25, 2018

Baraza la uwezeshaji lashirikisha wadau wa Serikali kwenye mradi wa barabara za vijijini

BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limeendelea kutekeleza ilani ya uchaguzi ya chama tawala ya mwaka 2015 kwa kuunga mkono mradi wa matengenezo ya daima ya barabara za vijijini ambao unatumia teknolojia ya nguvu kazi ... Soma zaidi

Imewekwa: Apr 25, 2018