Habari

Imewekwa: May, 08 2018

Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania atembelea ofisi za Baraza

News Images

Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier atembelea ofisi za Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi lengo likiwa ni kujadiliana maeneo ya Ushirikiano ili kufanikisha kusudi la kuwezesha wananchi kupitia fursa za mikopo na programu za mafunzo kwa vikundi vya uzalishajimali na wakulima.